0 Comment
SAFARI ya muziki ya Aaliyah Dana Haughton ni hadithi ya kipaji, ujasiri, mafanikio makubwa na majonzi yasiyosahaulika. Alizaliwa Januari 16, 1979 huko Brooklyn, Marekani, na akalelewa Detroit, ambako vipaji vyake vilianza kuonekana akiwa mdogo. Kutoka kwenye televisheni hadi studio za muziki, safari yake ilikuwa na kasi ya ajabu lakini pia iliandamana na changamoto nzito ambazo... Read More









