0 Comment
BEKI wa kati wa klabu ya FC Baniyas inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), Ismael Oliver Touré, ameaga rasmi klabu hiyo na sasa anatajwa kuwa karibu kujiunga na mabingwa wa soka Tanzania, Simba SC, katika dirisha la usajili. Touré amekuwa mchezaji mwenye mchango mkubwa katika klabu mbalimbali alizopita, ikiwemo Stellenbosch FC, ambako aliwahi... Read More





