0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi Pwani, Januari 16, 2026 Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma, ikiwemo mapato na fedha za Serikali na kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa kuzingatia thamani ya fedha . Akizungumza Januari 16, 2026, wakati Read More




