0 Comment
SIKU chache tu tangu winga wa Simba, Edwin Balua kuondoka Enosis Neon Paralimniou inayoshiriki Ligi Kuu Cyprus ikiwa na maskani katika Jiji la Paralimni aliyoitumikia kwa mkopo, kwa nyota huyo ameibukia Uarabuni kujiunga na Al-Entesar ya Saudi Arabia. Balua anayemudu kucheza winga zote kulia na kushoto huku akicheza pia nyuma ya mshambuliaji, tayari amekamilisha uhamisho... Read More






