0 Comment
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kurejea tena huku akitamba keshokutwa Jumamosi watakitonesha kidonda cha Azam FC ilitoka kufungwa katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 mbele ya Yanga waliobeba taji kwa penalti 5-4. Wagosi wa... Read More


