0 Comment
MALLORCA:JÜRGEN Klopp ameweka wazi msimamo wake kuhusu tetesi zinazomhusisha na Real Madrid, akitumia nafasi hiyo kuzungumzia kwa kina zaidi kuondoka kwa Xabi Alonso ndani ya muda mfupi tangu ateuliwe. Akizungumza na Sport Talk, Klopp amesema kuondoka kwa Alonso baada ya miezi sita tu ni ishara tosha kwamba kuna matatizo ndani ya Real Madrid, na si... Read More




