0 Comment
NYOTA wawili wa kimataifa, Libasse Gueye na Khadim Diaw, wanatarajiwa kutua nchini muda wowote kuja kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kusaini mikataba ya kuitumikia klabu ya Simba SC, ikiwa ni sehemu ya mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo. Katika dirisha dogo la usajili, Simba imekuwa ikifanya mambo yake kwa siri kubwa, ikilenga kuongeza... Read More



