0 Comment
RABAT:SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemuondoa mwamuzi wa kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, katika orodha ya watakaosalia kuchezesha mechi zilizobaki za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea nchini Morocco. Mbali na Traoré, mwamuzi mwingine aliyeripotiwa kuondolewa ni Abdou Abdel Medire kutoka Cameroon aliyechezesha mechi ya hatua ya 16 bora kati ya... Read More



