0 Comment
SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda. Timu hiyo iliyokuwa kundi A na kumaliza nafasi ya pili, hadi inaondoshwa hatua ya nusu fainali kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga, imeruhusu bao kila mechi. Ikiwa imecheza mechi nne, imefunga... Read More




