0 Comment
WAKATI tukisubiri kushuhudia fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 ipigwe Januari 13, 2026 pale Gombani kisiwani Pemba baada ya jana usiku kuchezwa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Singida Black Stars, kuna nyota wawili wameacha rekodi. Nyota hao ni David Kameta ‘Duchu’ na Yussuf Suleiman Haji ‘Jusa’ anayekipiga kwa mabingwa watetezi wa michuano... Read More






