0 Comment
DAR ES SALAAM: MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Prince Dube, ameibuka mchezaji bora wa klabu hiyo kwa mwezi Desemba, tuzo inayodhaminiwa na NIC Insurance, baada ya kuonesha kiwango bora na mchango mkubwa katika michuano ya Ligi Kuu na Ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Dube alichaguliwa kufuatia mwendelezo wa kiwango chake kizuri cha ufungaji, kujituma uwanjani... Read More






