0 Comment
Dar es Salaam. Mwaka 2025 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa Ofisi ya Msajili wa Hazina, huku mageuzi katika mashirika ya umma yakiendelea kuonesha matokeo chanya kwa wingi. Katika kipindi hiki, thamani ya uwekezaji wa Serikali iliongezeka hadi kufikia Sh92.3 trilioni Juni 2025, makusanyo ya mapato yasiyo ya kodi yalifikia Sh1.028 trilioni, uzinduzi wa Mfumo wa Read More





