0 Comment
DAR ES SALAAM:MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Boaz Danken, anatarajiwa kuwa miongoni mwa waimbaji watakaopamba mkesha wa vijana wa kusifu na kuabudu unaojulikana kama ‘The Night of Revelation 2026’, utakaofanyika Januari 16, 2026 katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mabibo External. Mkesha huo unakwenda sambamba na kaulimbiu isemayo “New... Read More






