0 Comment
KIKOSI cha Yanga kimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mchezo uliochezwa kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar. Bao pekee la ushindi kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara lilifungwa na kiungo mshambuliaji, Célestin Ecua, dakika... Read More







