0 Comment
Singida Black Stars imethibitisha kumteua David Ouma kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Miguel Angel Gamondi, ambaye sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu. Taarifa rasmi iliyotolewa leo Januari 5, 2025, imeeleza kuwa Ouma, ambaye awali alikuwa kocha msaidizi, atashirikiana na makocha wasaidizi Mousa Nd’aw na Muhibu Kanu. Aidha, klabu hiyo
The post Singida Black Stars Yafanya Mabadiliko Makuu: Ouma Kocha Mkuu, Najjar Meneja Mkuu appeared first on Global Publishers. Read More






