0 Comment
KOCHA wa Klabu ya Simba, Steve Barker, amesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Muembe Makumbi katika Kombe la Mapinduzi ni muhimu kwa maandalizi ya kikosi chake. Amesema licha ya kuelewa kuwa mashindano hayo yana uzito mkubwa kama ilivyo kwa mashindano ya kimataifa yanayowakabili baadaye. Barker amesema lengo kubwa la Simba katika michuano hiyo ni... Read More








