0 Comment
Na WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini hali inayo fikia asilimia 90 ya bidhaa hizo za afya. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Johannes Lukumay leo Januari Read More





