0 Comment
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, Jijini Rabat, Morocco. Katika mkutano huo, Waziri Makonda alimkabidhi Dk. Motsepe barua kutoka kwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na barua hiyo, Waziri Makonda, aliyekuwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara na... Read More




