0 Comment
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15, 2026 majira ya saa nane mchana katika Benki ya CRDB tawi la Sirari – Tarime, mtu aitwaye
The post CCTV Camera Zilivyonasa Jamaa Akipigana na Askari Polisi – Video appeared first on Global Publishers. Read More




