0 Comment
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kuisaidia timu. Katika taarifa yake aliyoitoa leo, Ahmed amesema Kibabage ana ubora na uwezo ambao, endapo atapewa sapoti inayostahili, ataifanyia makubwa Simba.... Read More





