Na Mwandishi Wetu SHULE ya St. Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam, imeendelea kufanya maajabu kwenye mitihani ya darasa la saba ambapo mwaka huu wanafunzi wake 140 waliohitimu darasa la saba wamefaulu kwa alama A. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa shule hiyo, Gladius Ndyetabura... Read More