Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) jioni ya tarehe 05 Oktoba 2024, amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya Kikazi. Mara baada ya Kuwasili Mtwara,Waziri Stergomena Tax amepokelewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Mtwara Kanali Patrick Sawala aliyeongoza uongozi wa mkoa. Akizungumza baada ya kuwasili, Waziri Tax... Read More
*Kufanya utafiti katika maeneo yenye leseni. KAHAMA Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni ya Dhahabu ya Barrick zinatarajia kuanza mikakati ya kufanya utafiti katika maeneo yenye leseni mkoani Mara yatakayotumiwa na wachimbaji wadogo wa madini baada ya utafiti kukamilika ikiwa ni lengo la kuwajengea uwezo wachimbaji wadogo ili wachimbe kwa tija. Hayo yamesemwa leo... Read More
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Tenkonolojia ya Madini 2024 yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Venance Mwase Mkurugenzi... Read More
Vijana wametakiwa kujitokeza kugombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu ukitanguliwa na zoezi la kujiandikisha kuanzia octoba 11 hadi 20 mwaka huu. Wito huo umetolewa na mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala baada ya kuhitimisha zoezi la mbio za pole zizilolenga kuhamasha wananchi kujitokeza katika zoezi hilo. DC... Read More
Na Mwandishi wetu Handeni Tanga. Mkuu wa wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Mhe. Albert Msando amewahakikishia wananchi wanaoishi Tarafa ya Ngorongoro na wanataka kuhamia katika kijiji cha Msomera kutokuwa na hofu yoyote kuhusiana na maisha ndani ya kijiji hicho kwani ni salama na serikali imekuwa ikitatua kila aina ya changamoto inayojitokeza ili wananchi hao waweze... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 6, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kamal Group, Sameer Gupta akizungumza na ugeni wa Balozi wa Tanzania nchini Japani na TIC mara baada ya kutembelea eneo kongani la Viwanda kwa Wajapan. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kamal Group, Sameer Gupta na Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri wakipanda mti katika walipofika eneo la Viwanda kwaajili ya Wajapani... Read More