Kongamano la 42 la kisayansi la chama cha kitaaluma madaktari wa wanyama Tanzania, linatarajiwa kufungulia na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Arusha. Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaongoza waombolezaji kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa WHO, Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, Dar Es Salaam. Read More
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na UAE tangu kuanzishwa kwa uhusiano huo mwaka 1974. Baada ya kuwasili nchini humo Mhe. Waziri Kombo , amefanya... Read More
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetoa elimu kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kibasila na kuwataka kusoma masomo ya sayansi ili waweze kusomea masuala ya anga kwa lengo la kupunguza uhaba wa watalaam wa Sekta hiyo nchini. Akizungumza wakati wa kutoa elimu hiyo Afisa... Read More
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA Mhandisi Victor Seff amewataka Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini kufanya ukaguzi na matengenezo ya Miundombinu ya barabara zinazosimamiwa na TARURA mara kwa mara ili kubaini kasoro na kuchukua hatua za haraka kuondoa kasoro hizo. Kauli hiyo ameitoa... Read More
Katibu tawala mkoa wa Rukwa Msalika Makungu wakati akizungumza na madaktari bingwa waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Sumbawanga Baadhi ya madaktari bingwa waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Sumbawanga kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa ……………… Na Neema Mtuka Sumbawanga. Rukwa. Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sumbawanga Dr.... Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ jijini Arusha tarehe 02 Disemba 2024. Nishani hizo ni pamoja na Nishani ya Kumbukumbu... Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akizungumza na Wahasibu Wakuu wa Serikali kutoka nchi za Afrika pamoja na wadau mbalimbali wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, tarehe 02 Disemba, 2024. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akizungumza... Read More
Kufuatia juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuanzisha huduma za Madaktari Bingwa wanaozunguka mikoa mbalimbali nchini, wakazi wa Mkoa wa Mara wameomba mpango huo uwe endelevu, wakibainisha kuwa umekuwa msaada mkubwa kwao. RC Mara Awapokea Madaktari 42 Bingwa Kufuatia juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia... Read More
Mjumbe wa Baraza la Wazazi CCM Mkoa wa Mwanza, Alfred Wambura ambaye alikuwa mgeni rasmi leo akizungumza katika mkutano wa kumpongeza, Jumanne Mganga kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa National Magharibi. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa National Magharibi,Jumanne Mganga,akiwashukuru wananchi (haapo pichani),kwa kumchagua kushika wadhifa huo leo. Sheikh wa Wilaya ya Ilemela, Abdilwarirh... Read More