Mama Maria Nyerere (centre), Mke wa Hayati Julius Kambarage Nyerere, akizungumza na msafara wa Twende Butiama 2024 walipomtembelea nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam kabla ya kuanza rasmi safari ya kutoka Dar es Salaam mpaka Butiama tarehe 29 Septemba 2024. Kuanzia kushoto ni Gabriel Landa, Mwanzilishi wa Twende Butiama, Gertrude Mongella na Zuweina Farah, Mkurugenzi... Read More