Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo wakati wa utiaji saini Mikataba na Hati za Makubaliano Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa kwenye dhifa ya chakula cha mchana aliyoandaliwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.