WANANCHI wa tawi la Mkoga liloko kata ya Isakalilo katika Manispaa ya Iringa wamemlilia Mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kutatua changamoto ya mfereji wa umwagiliaji unaowasaidia wakulima wengi katika kata hiyo. Wananchi hao walisema hayo wakati wakizungumza na mwanahabari wakati wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini Fadhili Ngajilo na kusema kuwa... Read More