Mdhibiti Mkuu ubora wa shule ya Meru,Aurelia Kiwale wakati akizungumza katika mahafali ya nne ya darasa la Saba katika shule ya mchepuo wa kiingireza ya Silverleaf Academy . ……………… Happy Lazaro,Arusha . Arusha.Walimu nchini wametakiwa kutumia mbinu shirikishi katika kuwafundisha wanafunzi masomo ya sayansi kwa vitendo zaidi ili waweze kuhamasika kusoma masomo hayo. Hayo yamesemwa... Read More