Shirika la Afya Duniani (WHO), limeipatia Tanzania shilingi bil. 7.55, ili kudhiti na kukabiliana na ugonjwa wa Marburg nchini. Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameyasema hayo, leo, alasiri, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, akizungumza na kwenye mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan. Awali, akizungumza katika mkutano huo, Rais Samia amesema... Read More