Na Prisca Libaga, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano Machi 12, 2025 Jijini Arusha, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea Mhe. Eunju Ahn, akiialika Korea kushirikiana na Serikali katika kuukuza utalii wa Matibabu na kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana Mkoani Arusha. Mhe. Makonda amemueleza Balozi... Read More










