WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kufuatia ziara yake ya ukaguzi wa shamba la mbegu tarehe 16 Septemba 2024 lililopo Undomo, Wilaya ya Nzega. Shamba hilo lina ukubwa wa hekta 802.47 ambapo hekta 602 zimetumika kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu kwa... Read More