NA FAUZIA MUSSA Ofisa kutoka Idara ya fedha za nje, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Mwadini Haji Kheri, amesema Serikali zote mbili zitaendelea kutafuta wafadhili wa ndani na nje ya nchi ili kuwasaidia wakulima kuimarisha kilimo chao. Ameyasema hayo mara baada ya kukamilika kwa ziara ya kuwatembelea wakulima wa mbogamboga, matunda na viungo walio... Read More