Waziri wa Maji Ampongeza mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Simiyu kwa kujenga kiwanda cha Moli Oil Mills
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso, ametoa pongezi kwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Simiyu, Emmanuel Silanga kwa kujenga kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji kinachojulikana kama Moli Oil Mills. Kiwanda hicho kipo mtaa wa Majahida wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, jambo ambalo Waziri huyo alisema linasaidia kuleta maendeleo katika jamii.... Read More