NJOMBE ,Serikali ya mkoa wa Njombe imefanya kikao cha tathimini ya elimu chenye lengo la kuona mafanikio ,changamoto na kisha kutoka na maazimio ya namna gani sekta hiyo itapiga hatua zaidi na kuwa kinara kitaifa katika mitihani ya ngazi mbalimbali . Katika kikao hicho ambacho kimeongozwa na mkuu wa wilaya ya Njombe Juma Sweda kwa... Read More










