Serikali ya Mtaa Kalume imetoa chakula bure cha wanafunzi zaidi ya 300 wa darasa la saba leo na kesho wanaofanya mtihani wa kuitimu elimu ya msingi shule ya msingi Ilala Boma na Mkoani . Akizungumza wakati wa kugawa chakula kwa wanafunzi wa shule ya Ilala Boma Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kalume Hajji Bechina, alisema... Read More