Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Afya) Dkt. Festo Dugange akizungumza na wananchi wa kata ya ukumbi (hawapo pichani) mara baada ya kukagua ujenzi wa kituo cha afya kata ya ukumbi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya ujenzi wa miundombinu katika sekta za afya na elimu wilayani Kilolo. Wananchi wa... Read More








