Meneja wa TIRA kanda ya kaskazini, Bahati Ogolla akizungumza katika kikao kazi kilichowashirikisha watoa huduma wa bima kutoka mikoa ya kanda ya kaskazini (Arusha, Kilimanjaro na Tanga). Watoa huduma za bima kanda ya kaskazini wakiwa katika kikao kazi hicho mkoani Arusha . ………….. Happy Lazaro,Arusha . Arusha.Watoa huduma za bima kanda ya kaskazini wametakiwa kutoa... Read More
Kampuni ya GSM kupitia Duka lake la GSM HOME Mikocheni Jijini Dar es salaam, imetangaza punguzo kubwa la bidhaa la hadi asilimia 90 kwa bidhaa mbalimbali zilizopo ndani ya Duka hilo kwa bidhaa zote ikiwemo vyombo vya majumbani na fenicha. Mkurugenzi wa Ubunifu wa GSM Omary Nyembo ( @OmmyDimpoz ) amesema hii ni nafasi ya kipekee... Read More
Mahakama ya Moscow siku ya Ijumaa ilianza kusikiliza kesi ya mwanamume Mmarekani mwenye umri wa miaka 72 anayetuhumiwa kupigana kama mamluki nchini Ukraine, mashirika ya habari ya Urusi yaliripoti. Mahakama ya Jiji la Moscow inasikiliza kesi ya jinai dhidi ya Mmarekani huyo “kuhusika kama mamluki katika mzozo wa kijeshi upande wa Ukraine,” shirika la habari... Read More
Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) imefunguliwa rasmi kuzikutanisha timu zinazowajumuisha watumishi wa serikali kutoka kwenye wizara, taasisi, wakala za serikali, ofisi za wakuu wa mikoa, halmashauri, pamoja na manispaa. Uzinduzi huu umefanywa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko aliyeambatana na Naibu... Read More
Na Mwandishi wetu, Moshi KUWEPO kwa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour katika viwanja vya gofu vya klabu ya Moshi Gymkhana, kumesaidia kufufua mchezo huo na kuboresha viwanja hivyo ambavyo awali vilikuwa na hali mbaya kutokana na kutokuwepo kwa michuano kwa miaka mingi. Imeelezwa viwanja hivyo ambavyo vilikuwa havina nyasi siku ya kwanza... Read More
MTEJA wa Meridianbet kama kawaida wikendi ndo hiyo inanukia ambapo Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako sasa. Ligi kuu ya Hispania LALIGA inatarajiwa kurindima leo kwa mchezo mmoja huku mwenyeji Real Valladolid baada ya kupoteza mchezo wake uliopita atakipiga dhidi ya Mallorca majira ya saa nne usiku. Mechi... Read More
Chuo Cha Uhasibu Arusha kwa kushirikiana na kampuni ya Rethinking Tourism Africa wamefanya kongamano la maadhimisho ya siku ya utalii duniani leo September 27,2024 kwa kushirikisha wadau wa sekta hiyo katika hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Akizungumza wakati wa kongamano hilo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii mheshimiwa Dastan Kitandula amesema kuwa sekta ya... Read More
Bunge la Tunisia lilipanga kupiga kura kuhusu marekebisho makubwa ya sheria ya uchaguzi siku ya Ijumaa, siku tisa kabla ya uchaguzi wa rais ambao makundi ya upinzani yanahofia kwamba yataimarisha utawala wa kimabavu wa Rais Kais Saied. Mswada huo unaiondolea Mahakama ya Utawala mamlaka yake ya kusuluhisha mizozo ya uchaguzi. Kuna uwezekano wa kupita katika... Read More
Na Mwandishi wetu, Moshi KUWEPO kwa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour katika viwanja vya gofu vya klabu ya Moshi Gymkhana, kumesaidia kufufua mchezo huo na kuboresha viwanja hivyo ambavyo awali vilikuwa na hali mbaya kutokana na kutokuwepo kwa michuano kwa miaka mingi. Imeelezwa viwanja hivyo ambavyo vilikuwa havina nyasi siku ya kwanza ya... Read More