Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya kuanza awamu ya pili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini – Mtwara, ambapo kazi zinatarajiwa kuanza ifikapo Aprili 2025. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mkoa wa Mtwara Mhe. Abdallah Dadi Chikota,... Read More








