Mjumbe wa Tuhe Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Uboreshaji ngazi ya majimbo katika mikoa yote ya Kisiwa cha Pemba, Zanzibar. Mafunzo hayo yamefungwa leo Oktoba o2, 2024 amewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Visiwani... Read More