Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umetoa mafunzo ya Uraghbishi kwa Waraghbishi kutoka ngazi ya jimii katika wilaya za Chemba, Kondoa TC, Kondoa DC, Mkoani Dodoma, Tanzania na maandalizi ya utekelezaji wa Uraghbishi katika ngazi ya jamii wenye lengo la kuimarisha uwezo na ujuzi wa Waraghbishi wa kutumia mbinu na nyenzo Shirikishi katika kuongoza na kuwezesha... Read More








