Kiongozi mkuu wa vuguvugu la Hezbollah la Lebanon alisema Jumapili kwamba mtangulizi wake, Hassan Nasrallah, atazikwa tarehe 23 Februari, karibu miezi mitano baada ya kuuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut, Reuters imeripoti. Nasrallah aliwahi kuwa katibu mkuu wa Hezbollah kwa zaidi ya miaka 30. Aliuawa tarehe 27 Septemba... Read More







