NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KUPITISHWA kuwa Sheria kuhusu nyongeza ya siku za likizo kwa Wafanyakazi wanawake wanaojifungua watoto njiti inaenda kusaidia kulinda ustawi wa watumishi wanaojifungua Watoto njiti nchini kwani jambo hilo lilikuwa ni changamoto kubwa na kilio cha muda mrefu cha Wafanyakazi Wanawake Mtandao wa Haki ya Afya ya Uzazi nchini (SRH) unaoongozwa... Read More










