Kamati ya Ulinzi na Usalama wakitoa heshima kwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete wakati akiingia kwenye Ukumbi wa mikutano wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Wilayani Kibaha Mkoani Pwani Baadhi ya viongozi wakimsikiliza mgeni rasmi ambaye pia alikua ndiye msemaji mkuu kwenye kongamano hilo Rais Mstaafu wa awamu... Read More