Kila mmoja anapenda kuona maisha yake yanapiga hatua kila siku, hakuna mtu ambaye hapendi kuona maendeleo yake binafsi ingawa vikwazo ni vingi hasa upande wa utafuta riziki. Jina langu ni Wangechi toka Nairobi nchini Kenya, nimeajiriwa kwenye kampuni kubwa ya usambazaji vinywaji baridi, nimefanya kazi hii kwa miaka zaidi ya 12 sasa. Miaka mitatu iliyopita... Read More