Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemjibu Rais wa Marekani wa wakati huo, Donald Trump, baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada kwa taifa hilo akidai kuwa kuna ukiukwaji wa haki za binadamu, pamoja na madai kuwa Wazungu wananyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki. Akijibu madai hayo, Ramaphosa amemtaka Trump aache kuingilia masuala ya ndani ya Afrika... Read More







