Na Said Mwishehe Michuzi TV CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama CPA Amoss Makala kimepongeza uwekezaji mkubwa uliofanyywa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam sambamba na uwekezaji wa DP World ambao umewezesha kumalizwa kwa msongamano wa kontena bandarini. Akizungumza leo Agosti 28,2024 alipofanya ziara ya kutembelea Bandari... Read More