ARUSHA. Wadau wanaoshiriki katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, Jijini Arusha, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na shahuku ya kuona Mashirika ya Umma yanaimarika kiutendaji na kutimiza hazma ya kufanya Biashara nje ya... Read More