Ofisa Mwandamizi wa Huduma kwa Wateja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Getrude Mbiling’i (kulia) akimuelekeza mteja kujaza fomu ya malalamiko kuhusu huduma zinazodhibitiwa na EWURA katika viwanja vya Shule ya Msingi Uyui Tabora ikiwa ni sehemu ya maadhimishk ya Wiki ya Huduma kwa Mteja iliyoanza iliyoanza leo Oktoba 7,2024. Watumishi wa EWURA Kanda ya Magharibi... Read More
SHIRIKA la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) limetaka watengenezaji wa mkaa mbadala kujitokeza kupata elimu ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi kwani asilimia 50 ya mkaa huo unaotumika katika maeneo mbalimbali hauna ubora kutokana na watengenezaji wake kufanya shughuli hiyo bila kupata mafunzo yakitaalamu. Kauli hiyo imetolewa leo Octoba 7,2024 na Mkurugenzi... Read More
Na Mwandishi Wetu, Helsinki, Finland Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania na Wizara ya Kilimo na Misitu ya nchini Finland zinakamilisha mradi mpya wa kuboresha sekta ya misitu ili kuipa thamani sekta hiyo kuwa ya kibiashara zaidi kutokana na uzoefu wa Finland. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 7, 2024, jijini hapa wakati wa kikao cha... Read More
Meneja Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke Mhandisi Ezekiel Mashola akizungumza jambo katika hafla fupi ya Uzinduzi ya Wiki ya Huduma kwa Mteja iliyofanyika leo Oktoba 7, 2024 katika Ofisi za Mkoa huo zilizopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Afisa Habari Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Mkoa wa Temeke Lucia Renatus akizungumza... Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Jeremiah Katungu mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma tarehe 07 Oktoba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Jeshi... Read More
KAMANDA wa kikosi 834 KJ Makutopora Kanali Festo Mbanga amewahamasisha Watanzania kuwapeleka watoto kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili wapate mafunzo yatakayowajengea Upendo,uzalendo, ujasiriamali na ukakamavu. Kanali Mbanga ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na kikundi cha OPERESHENI KAMBARAGE kilichopitia mafunzo katika kikosi hicho mwaka 1990 hadi 1991 baada ya kutembelea kambini hapo... Read More