Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri pamoja na Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za Afya ya Msingi nchini kutakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kushughulikia changamoto. Read More
Naitwa Ally toka Mombasa Kenya, Mama alikuwa na tatizo la kupandisha majini, sijui mashetani na hii hali ikimkuta anakuwa siyo yeye tena, ni kama kuna nafsi nyingine huwa inamvaa, kwa waswahili wenzangu hili sio jambo ngeni. Hayo majini yake yakipanda huwa yanachafua hali ya hewa pale nyumbani balaa, ikafika kipindi yaani watu wote tunamkimbia na... Read More
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (kulia) akipokea tuzo kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani nchini Tanzania (IIA) CPA, Dkt. Zelia Njeza (wa pili kushoto) mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 17 wa IIA. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,... Read More
Na Mwandishi Wetu HALMASHAURI ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Global Peace Network (GPN) pamoja na Tanzania Home Economics Organization- TAHEA), inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa utengenezaji wa viungo bandia ikiwamo mikono na miguu ili kuwezesha watu wenye uhitaji wa viungo hivyo kuvipata kwa bei nafuu nchini. Mradi huo ambao... Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Mahafali ya 65 ya Shule ya Msingi Matongo na kuwapongeza Walimu,Wazazi na Wanafunzi kwa jitihada za kupandisha ufaulu. Aidha amekabidhi Mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh Milioni 3 ikiwa ni ahadi aliyoitoa mwaka jana 2023 kwenye mahafali kama hayo. Akizungumza katika mahafali hayo Octoba 2,2024,Mtaturu amewahimiza Wazazi... Read More
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, leo, tarehe 3 Oktoba 2024 ametembelea na kukagua Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma cha Mkoa wa Njombe kilichopo eneo la Shaurimoyo, wilayani Ludewa. Akiwa chuoni hapo, Prof. Mkenda ameipongeza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa juhudi zake za kuboresha elimu ya... Read More
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameazimia kuboresha... Read More
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameshiriki Mahafali ya 65 ya Shule ya Msingi Matongo na kuwapongeza Walimu,Wazazi na Wanafunzi kwa jitihada za kupandisha ufaulu. Aidha amekabidhi Mashine ya kudurufu yenye thamani ya Sh Milioni 3 ikiwa ni ahadi aliyoitoa mwaka jana 2023 kwenye mahafali kama hayo. Akizungumza katika mahafali hayo Octoba 2,2024,Mtaturu amewahimiza... Read More
Na Sophia Kingimali. Shirika la maendeleo ya Petrol Nchini TPDC limetoa ufafanuzi wa chanzo cha tatizo la ukosefu wa gasi ya CNG katika kituo chake cha Airport hali iliyopelekea usumbufu mkubwa kwa magari yanayotumia gesi hiyo ambapo chanzo kilikuwa ni hitirafu ya umeme iliyotokea hivyo katika kuhakikisha hali hiyo haijirudii mara kwa mara tayari wameshatoa... Read More