0 Comment
Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya Uchina, Liu Liange, mnamo Jumanne alihukumiwa kifo baada ya mahakama moja mjini Jinam katika mkoa wa Shandong mashariki mwa China kumpata na hatia ya kupokea rushwa na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama hiyo ilibaini kuwa Liange alipokea hongo yenye thamani ya zaidi ya Yuan milioni 121 sarafu... Read More