0 Comment
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua rasmi SAMIA INFRASTRUCTURE BOND katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa waliohudhuria ni David Kafulila, Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi – PPP. “Malengo ya Serikali ni kujenga uchumi ambao ni jumuifu, kwenye kujenga uchumi... Read More